Jiunge na IFM WORKERS SACCOS Limited ili uweze kunufaika na huduma mbalimbali ukiwa kama mwanachama hai. Kujiunga ni lazima uwe mfanyakazi wa Taasisi ya umma au binafsi.
Ukiwa mwanachama wa IFM WORKERS SACCOS Limited utaweza kununua hisa na kuwekeza hisa zako kwa muda utakao ridhia. Pia utaweza kukopa kulingana na aina ya mkopo utakaohitaji. Kuna aina kumi na tatu za mikopo zinatolewa na IFM WORKERS SACCOS Limited.
Kupitia akiba, amana na hisa za mwanachama pamoja na mikopo yenye riba nafuu, mwanachama ataweza kujikwamua kiuchumi na kijamii kwa kutatua tatizo la kukosa fedha kwa wakati.
Mar 16, 2026
Mkutano mkuu wa Wanachama wa IFM Saccos ambao unafanyika mara moja kwa mwaka kwaaajili ya kujadili...

5 Shaaban Robert Street, Dar es salaam Tanzania
Phone: +255 756 123456
Email: ifmworkerssaccos@gmail.com
Nyumbani
Kuhusu Sisi
Huduma Zetu
Nyaraka
Mawasiliano
Mikopo ya Maendeleo
Mikopo ya Dharura
Mikopo ya Papo Kwa Papo
Mikopo ya Weekend
Mikopo ya Mishahara
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Simiyu
© Copyright IFM WORKERS SACCOS. All Rights Reserved