Logo
KUHUSU SISI
...

Kuhusu Sisi

IFM WORKERS SACCOS

Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha IFM (IFM-WORKERS SACCOS LTD) kilianzishwa na wafanyakazi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) mwaka 1984 na kusajiliwa chini ya sheria ya Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo. Kiliandikishwa na Msajili wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo na kupewa namba ya usajili DSR 4759. Wanachama wake wapo katika kampasi nne ambazo ni Dar es Salaam ambapo ofisi za chama zipo pamoja na matawi yake yaliyopo Dodoma, Mwanza na Simiyu.

DIRA

Kuwa SACCOS inayotoa huduma bora kwa wanachama wake nchini Tanzania.

DHAMIRA

Kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha ya mwanachama.

MISINGI YA CHAMA

Kutoa huduma za akiba, mikopo na elimu ya ushirika kwa wanachama.

IFM WORKERS SACCOS

5 Shaaban Robert Street, Dar es salaam Tanzania

Phone: +255 756 123456

Email: ifmworkerssaccos@gmail.com

KURASA ZA KARIBU

Nyumbani

Kuhusu Sisi

Huduma Zetu

Nyaraka

Mawasiliano

HUDUMA ZETU

Mikopo ya Maendeleo

Mikopo ya Dharura

Mikopo ya Papo Kwa Papo

Mikopo ya Weekend

Mikopo ya Mishahara

TUNAPATIKA

Dar es salaam

Dodoma

Mwanza

Simiyu

© Copyright IFM WORKERS SACCOS. All Rights Reserved