Services
IFM Saccos hutoa mikopo ya aina mbalimbali kwa wanachama wake kulingana na uhitaji wa mwanachama.
Mikopo ya maendeleo hutolewa kwa ajili ya kufanya jambo la maendeleo kwa mwanachama ikiwemo ujenzi, kununua gari, viwanja au kuendeleza biashara iliyopo.
Muda wa marejesho ni miezi 36 mpaka 60.
Mikopo ya dharura hutolewa kwa ajili ya kufanikisha jambo lolote la dharura.
Muda wa marejesho ni miezi 12.
Mikopo ya elimu hutolewa ili kulipia gharama za masomo kwa mwanachama au watoto wa mwanachama.
Muda wa marejesho ni miezi 6.
Mikopo ya weekend hutolewa wakati wowote mwanachama anapohitaji fedha kwa ajili ya kufanikisha jambo la dharura hasa siku za mwisho wa juma.
Muda wa marejesho ni mwezi 1.
Hutolewa wakati wowote.
Muda wa marejesho ni juma 1.
Mikopo ya mshahara ni malipo ya awali ya mshahara wa mwanachama.
Muda wa marejesho ni makato kwenye mshahara wa mwezi uliohusika kukopa.
5 Shaaban Robert Street, Dar es salaam Tanzania
Phone: +255 756 123456
Email: ifmworkerssaccos@gmail.com
Nyumbani
Kuhusu Sisi
Huduma Zetu
Nyaraka
Mawasiliano
Mikopo ya Maendeleo
Mikopo ya Dharura
Mikopo ya Papo Kwa Papo
Mikopo ya Weekend
Mikopo ya Mishahara
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Simiyu
© Copyright IFM WORKERS SACCOS. All Rights Reserved